Pogba kukiwasha leo, baada ya miaka 2 nje
Kiungo wa Monaco Paul Pogba anatarijiwa kuanza mchezo wake wa kwanza mwishoni mwa wiki hii bada ya kukaa nje kwa muda mrefu baada ya kumaliza kifungo chake alichofungiwa kucheza kwa kosa la kutyumia dawa zilizozuiliwa michezoni.

