Ahukumiwa miaka 30 jela kwa ubakaji Mahakama ya wilaya ya Itilima iliyopo mkoani Simiyu imemhukumu Yosia Paulo Magembe (20) mkazi wa kijiji cha Sunzula kilichopo wilayani humo kwenda jela miaka30 kwa kukutwa na hatia ya makosa matatu. Read more about Ahukumiwa miaka 30 jela kwa ubakaji