Nandy amkataa Yammi hadharani Pichani Nandy na Yammi Msanii Nandyamekanusha madai ya Yammi kuwa alimpigia simu kumualika katika uzinduzi wa wimbo wake lakini hakupokea, Nandy ameeleza kuwa hakuona simu na pia Yammi angeweza kumpata Nandy kwa njia nyingine nyingi Read more about Nandy amkataa Yammi hadharani