The Mboni show week14 Kamera za The Mboni Show zinawamulika Judith Wambura Mbibo 'Jide' na Gardner G. Habash ambao ni mume na mke, wamiliki wa biashara mbalimbali na pia Gardner ni meneja wa Jide katika muziki. Kujua hayo na mengi kuwahusu, usikose.Submitted by Sophia on Jumatano , 26th Mar , 2014 Read more about The Mboni show week14