Marehemu Goldie aachia kichupa
Msanii wa kike wa Nigeria marehemu Goldie Harvey ana kila sababu ya kukumbukwa haswa katika fani yake ya muziki ambapo habari zilizopo ni kuwa Goldie aliacha moja ya kazi zake ambazo zilikuwa zimehifadhiwa chini ya lebo yake iitwayo Kenis Music.