D'Banj, Kenya katika biashara ya penzi
Mrembo aliyewahi kubeba taji la Miss USA pamoja na staa wa kipindi cha televisheni Kenya Moore ameripotiwa kuingia mkataba na D Banj kuwa kama wapenzi kwaajili ya muendelezo wa kipindi chake cha uhalisia cha Televisheni huko nchini Marekani.