Harrieth kuwania Ubunge UG Msanii wa muziki wa nchini Uganda, Harriet Kisakye amethibitisha dhamira yake ya kuingia katika siasa, ambapo ameweka wazi kuwa mwaka 2016, atagombea kiti cha ubunge wa jimbo la Wakiso huko Uganda. Read more about Harrieth kuwania Ubunge UG