Joyce Kiria
Joyce Kiria
Born December 25
Ni mke na mama wa watoto wawili. Najulikana zaidi kama 'Super Woman.' Namiliki kampuni yangu na lengo langu kubwa ni kutaka kumkomboa mwanamke wa Kitanzania kimaendeleo na pia kutokuwa tegemezi. Na kikubwa, kupunguza ama kuondoa kabisa ukatili dhidi ya wanawake.