Monalisa na ujumbe mzito kwa wasanii
Msanii mahiri wa filamu hapa Bongo, Ivone Cherrly maarufu zaidi kama Monalisa, amewataka wasanii wa filamu hapa Tanzania kuacha tabia ya kuchukiana na kutokupeana misaada katika kazi zao kwa lengo la kuweza kufikisha sanaa hii ya uingizaji katika ngazi ya kimataifa zaidi.