Weekend Movie Jumapili wk11

Jumapili hii ni sehemu ya pili na ya mwisho ya filamu GLAMOUR inayohusu maisha ya binti aliyelelewa na mama yake katika maadili ya kidini huko Zanzibar lakini mwenye ndoto za kuwa model. Baadaye anakutana na Mustafa Hasanali, je atafuata ndoto zake?

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS