Ringtone, Jimmy katika vita ya maneno?
Kumeripotiwa kuwepo na vita kali kati ya wasanii Jimmy Gait pamoja na Ringtone ambao wanafanya muziki wa injili kutoka nchini Kenya, ambapo taarifa mpya zinaweka wazi Ringtone amesema Jimmy ni msanii anayetamani kufanya miondoko ua injili na amekuwa