Abbas kuonyesha sanaa zake Msanii wa miondoko ya Hip Hop kutoka Kenya, Abbas Kubaff anatarajia kuonyesha sehemu nyingine ya usanii wake, ambapo mwezi ujao atafanya maonyesho makubwa ya kazi za sanaa ya uchoraji kwa kutumia rangi ambazo amezifanya. Read more about Abbas kuonyesha sanaa zake