NOOIJ AONGEZA WACHEZAJI 9 STARS kocha wa Taifa Stars, Mart Nooij Kocha mpya wa Taifa Stars, Mart Nooij ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi (The Flames) itakayochezwa Mei 4 mwaka huu katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Read more about NOOIJ AONGEZA WACHEZAJI 9 STARS