Mwanamke mkoani Mbeya amuua mume wake kikatili Mwanamke mmoja Mkazi wa Mpemba Wilaya ya Momba Mkoani Mbeya nchini Tanzania amemuua mume wake kwa kumkata na kitu chenye ncha kali kichwani katika tukio linalodaiwa kuhusishwa na wivu wa mapenzi. Read more about Mwanamke mkoani Mbeya amuua mume wake kikatili