Watanzania wapatiwa ujuzi kuhusu mafuta na gesi

Tanzania ni moja ya nchi ambazo wananchi wake wameanza kunufaika na mafunzo yanayoendeshwa na taasisi ya kimataifa ya Calderberg Group kuwajengea uwezo wazawa kuhusu namna wanavyoweza kusimamia na kunufaika na rasilimali za mafuta na gesi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS