Polisi Singida kuwashughulikia madereva wazembe Madereva 13 wakiwemo madereva kumi wa mabasi ya masafa marefu wamekamatwa na wanatarajiwa kufikishwa mahakamani, kwa kukiuka sheria za barabarani mkoani Singida na kuhatarisha maisha ya abiria. Read more about Polisi Singida kuwashughulikia madereva wazembe