2Face avamia uigizaji filamu
Staa wa muziki kutoka Nigeria, 2face Idibia naye ameamua kuonyesha uwezo mwingine alionao katika sanaa, ambapo anatarajia kuonekana hivi karibuni katika filamu mpya ambayo inatengenezwa huko Nollywood akiwa kama mwigizaji.