Serikali kuanza kufanya uhakiki wa dawa za meno

Chama cha madaktari wa afya ya kinywa na meno nchini Tanzania, kwa kushirikiana na wizara ya afya na ustawi wa jamii kinakusudia kuandaa mfumo wa ukauguzi na uhakiki wa dawa za meno ili kuona kama zinakidhi mahitaji ya matumizi ya binadamu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS