Mike aiweka 'likizo' kideoni
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Mike ambaye anakuja kwa kasi katika miondoko ya R&B, ameachia video ya ngoma yake inayokwenda kwa jina Likizo, ambayo ndani yake amemshirikisha mkali wa michano kutoka Weusi, Rapa Joh Makini.