Cpwaa kuja vingine kabisa Msanii wa muziki C Pwaa, ametangaza ujio wake mpya akiwa chini ya usimamizi wa lebo mpya ya Brainstorm Music, akiwa na mpango mkubwa wa kubadilisha namna biashara ya muziki inavyokwenda sasa ili kumfaidisha kila msanii. Read more about Cpwaa kuja vingine kabisa