TCRA imeonya kusajili simu kwa majina bandia. Profesa John Nkoma,Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Mamlaka ya mawasiliano nchini Tanzania TCRA imetahadharisha wananchi juu ya kuwepo kwa tabia ya baadhi ya watu kusajili kadi zao za simu na kwa kutumia majina bandia. Read more about TCRA imeonya kusajili simu kwa majina bandia.