Avril: Sijapendewa usanii Avril na Mchumba wake Msanii wa muziki kutoka Kenya, Avril Nyambura ambaye anatarajiwa kuolewa hivi karibuni baada ya kuvalishwa pete na mchumba wake kutoka Afrika Kusini, ameweka wazi kuwa kitu kikubwa kinachomvutia kutoka kwa mchumba wake, Read more about Avril: Sijapendewa usanii