MB Dogg arejea Tip Top? Msanii MB Dogg, ambaye kwa sasa amerejea kwa kasi katika game ya muziki akiwa na ngoma mpya ambayo inakwenda kwa jina Umenuna, ameweka wazi kuwa kwa sasa amerudi katika usimamizi uleule aliokuwa amepishana nao maelewano Read more about MB Dogg arejea Tip Top?