Wazazi wawaepushe watoto wao na homa ya dengue

Mbu aina ya Aedes Egypti anayesambaza virusi vinavyosababisha homa hatari ya dengue.

Wazazi nchini Tanzania wameaswa kuweka mazingira bora na ya usalama kwa watoto wao pale wanapowaacha majumbani na kwenda katika shughuli za ujenzi wa taifa ili kuwaepusha watoto hao na uwezekano wa kupata ugonjwa wa homa ya Dengue.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS