Mansu-Li: Ni kitabu na muziki Rapa Mansu-Li wa nchini Tanzania ambaye hivi sasa ameamua kujiwekea misingi yake katika elimu amesema kuwa kutokana na kujichimbia kwake akipiga kitabu hakumaanishi ndio ameupa kisogo muziki. Read more about Mansu-Li: Ni kitabu na muziki