Mayinja atekeleza majukumu ya baba
Msanii wa muziki wa nchini Uganda, Ronald Mayinja ambaye ana sifa kubwa ya kuwa na watoto wengi kutoka kwa mama wapatao 12 ama zaidi, ameamua kusimama imara na kuwawekea watoto wake wote mpango wa kuwa na maisha mazuri.