Davido avutiwa na hisia za mapenzi

Msanii na mtayarishaji muziki kutoka Nigeria, Davido ameweka wazi kuwa siri pekee ya mafanikio makubwa ya ngoma zake ambazo amekuwa akizitoa hivi karibuni hususan Aye, ni kutokana na hisia zake za mapenzi kupitia muziki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS