Majambazi yavamia benki na kupora Watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamevamia benki ya Barclays tawi la Kinondoni Jijini Dar es Salaam na kupora kiasi kikubwa cha fedha ambazo idadi yake haijajulikana mara moja. Read more about Majambazi yavamia benki na kupora