Chameleone kufunga mwezi Kiaina Msanii wa muziki Jose Chameleone ambaye anatarajia kufunga mwezi huu kwa onyesho kubwa huko Uganda, ameweka wazi kuwa, sambamba na tukio hili, kutakuwa na uzinduzi wa video zake 7 alizozitengeneza katika ziara zake Read more about Chameleone kufunga mwezi Kiaina