Rhino kutukumbushia Marehemu Ngwea
Ikiwa kama ndio kwanza anafungua mwaka huu kimuziki, Msanii wa muziki Black Rhino yupo katika hatua za mwisho kabisa kudondosha ngoma yake mpya kabisa ambayo ameifanya na Marehemu Mangwea, kazi ambayo ameipatia jina “Lookie Lookie”.