Jaguar, Juliani kumsaidia Johnni Viggetti Wasanii wakubwa wa muziki nchini Kenya, Jaguar pomoja na Juliani wamejitolea kumsaidia rapa mkongwe wa nchi hiyo, Johnny Vigetti ambaye ameripotiwa kusota katika shida kubwa ya uathirika wa dawa za kulevya. Read more about Jaguar, Juliani kumsaidia Johnni Viggetti