Amos Wako awafunda wajumbe, Bunge la Katiba
Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Kenya Amos Wako amesema Katiba mpya ya Kenya imetoa fursa ya nafasi mbalimbali za uongozi wa juu kuombwa na wananchi wote wa Kenya bila ya upendeleo na waombaji kuhojiwa uwezo na sifa zao kwa uwazi huku wananchi wakiwash