Wanne mbaroni kwa dawa za kulevya

Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania limefanikiwa kuwakamata watu wanne ambao walikuwa wakijiandaa kusafirisha dawa za kulevya zilizokuwa zimefichwa katikati ya vitabu kama kifurushi cha kusafirisha nje ya nchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS