Polisi kuchunguza kifo cha shabiki uwanjani

Jeshi la polisi nchi limesema kuwa linafanya uchunguzi juu ya kifo cha shabiki wa soka ambaye alifariki baada ya kuanguka ghafla uwanjani, wakati wa mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania bara, baina ya mabingwa watetezi Yanga na vinara wa ligi Azam

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS