Weekend Movie Jumamosi wk13
'Si kila king’aacho ni dhahabu, pesa alizokuwa nazo, maneno matamu na utanashati sikujua kama mwisho wa siku ataniacha katika ugonjwa nisioutegemea. kweli hili ni Chozi la Zinaa' Ni maneno ya nani? Tazama CHOZI LA ZINAA ya Bi Mwenda na Jengua J'mos