Kala Pina kurejea na Q Chief

Msanii wa muziki kutoka Tanzania ambaye kwa sasa ni bondia na mwanasiasa anayeibuka kwa kasi kubwa, Kala Pina, amewataka mashabiki wa muziki nchini kukaa tayari kwa ladha mpya kabisa ya muziki kupitia ngoma kali akimshirikisha Q Chief.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS