Kaseba ajipanga kumvaa Mashali UBO
Bondia Japhet Kaseba yuko katika maandalizi mazito ya mwisho mwisho akijifua tayari kwa mpambano wa ubingwa wa UBO dhidi ya bondia Thomas Mashali mpambano utakaopigwa machi 29 mwaka huu katika ukumbi wa PTA jijini Dar es salaam.