YOUNG KILLER APOTEZA MARAFIKI

Msanii Young Killer

Msanii Young Killer ambaye amerudi kwa kasi katika chati za muziki na ngoma yake mpya ambayo inakwenda kwa jina “My Power” ambayo amemshirikisha Damiani Soul, amesema tangu afahamike na wengi kupitia muziki, amepoteza idadi kubwa ya marafiki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS