Mkuu wa mkoa aingilia kati mgomo wa madereva Moshi
Wakazi wa mji wa Moshi Mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania wamepatwa na adha kubwa ya usafiri kuanzia asubuhi ya leo kufuatia mgomo wa madereva wa daladala na mabasi yaendayo Arusha kupinga faini kubwa zinazotozwa na trafiki.