Serikali Yamwondoa Mkurugenzi Bodi ya Utalii
Waziri wa Maliasili na Utalii nchini Tanzania Mhe. Lazaro Nyalandu, ametangaza kuridhia ushauri wa bodi ya utalii ya kumwondoa kazini Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii nchini Dkt. Aloyce Nzuki kuanzia leo kutokana na kutokuwa na imani naye pamoja na utend