Ditto awapa somo Wasanii
Msanii wa muziki Lameck Ditto, ametoa ushauri wa bure kwa wasanii wenzake kujaribu kuangalia namna ambavyo wanaweza kutumia vipato wanavyotengeneza katika muziki, kuwekeza katika miradi na shughuli mbalimbali, na kuacha kuendekeza starehe.