Yanga yakanusha kubania wachezaji wake kwenda nje

Uongozi wa mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka Tanzania bara Dar es salaam Yanga Africans umekanusha taaarifa za timu hiyo kupokea barua ya ofa kutoka timu yoyote ya nje ya nchi ikitaka kusajili mchezaji wa timu hiyo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS