Maandalizi Kaseba Miyeyusho kamili Mabondia watanzania Tomas Mashali na Japhet kaseba wako katika maandalizi ya mwisho mwisho wakijiwinda na mpambano wao wa kimataifa kuwania ubingwa wa UBO utakaopigwa mwishoni mwa mwezi huu jijini Dar es salaam Read more about Maandalizi Kaseba Miyeyusho kamili