Jukwaa la Katiba lakemea vitisho kwa wanahabari Kaimu Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Hebron Mwakagenda. Jukwaa la Katiba nchini Tanzania limekemea juu ya uwepo wa taarifa za vitisho kwa waandishi wa habari ambao hutakiwa kutoandika mabaya yanayoendelea ndani ya bunge maalum la Katiba. Read more about Jukwaa la Katiba lakemea vitisho kwa wanahabari