Wanaobeza mafanikio ya elimu wapuuzwe - Serikali
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi nchini Tanzania, imewataka watanzania kuwapuuza wanaobeza mafanikio yanayoonekana katika sekta ya elimu hivi sasa ikiwa ni pamoja na matokeo ya kidato cha nne kwa wanafunzi waliofanya mtihani huo mwaka jana.