Polisi wazuia show ya Davido Marekani
Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria, Davido ameweka historia nyingine baada ya onyesho lake lililokuwa limepangwa kufanyika huko Brooklyn, New York mwishoni mwa wiki, kujaa kupita kiasi, jambo lililopelekea Polisi kuzuia kufanyika kwake.