Mwadui yapinga Kupanda kwa Stand Utd.
Siku chache baada ya timu ya Stand United ya Shinyanga kutangazwa kupanda daraja kucheza ligi kuu ya soka ya Tanzania bara msimu ujao, Kocha wa klabu ya Mwadui, Jamhuri kihwelu "Julio" amekata rufaa kupinga kupanda kwa timu hiyo.