Milipuko: Polisi yatangaza donge la Milion 10. Kamishna wa makosa ya jinai Tanzania Isaya Mngulu Jeshi la polisi nchini limetoa donge nono la shilingi milioni kumi kwa mwananchi yeyote atakayefichua mtandao wa watu wanaotengeneza na kulipua mabomu katika mikusanyiko mbalimbali ya wananchi. Read more about Milipuko: Polisi yatangaza donge la Milion 10.