Wizkid amsimamisha kazi Meneja

Wizkid na aliyekuwa meneja wake Godwin Tom

Staa wa muziki kutoka nchini Nijeria, Wizkid ameripotiwa kusimamisha mkataba wa kazi na aliyekuwa meneja wake, Godwin Tom kufuatia kupishana maelewano na kuingia katika ugomvi mwishoni mwa wiki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS