Papa Leo akemea wanaotumia dini kuhalalisha vurugu “Kwa bahati mbaya, imekuwa kawaida kuona lugha ya imani ikiburuzwa katika mapambano ya kisiasa, kubariki utaifa na kuhalalisha vurugu na mapambano ya silaha kwa jina la dini,” amesema Papa Leo. Read more about Papa Leo akemea wanaotumia dini kuhalalisha vurugu